About

MOGRICULTURE TZ

Mogriculture Tz ni blog mahsusi kwa ajili ya kutoa elimu juu ya Kilimo bora na Ufugaji wa kisasa. Lengo kuu likiwa ni kumuwezesha mkulima, muwekezaji au mdau yeyote yule wa kilimo au ufugaji kuendesha kitaalamu na kwa tija kiuchumi.

Mogriculture Tz ina lenga kuwa chanzo kikubwa cha Elimu na habari zinazohusu Kilimo na Ufugaji Tanzania. Pia blog hii inatoa ushauri na nasaha bure kwa wakulima wanaotaka kuanza project zao za Kilimo au Ufugaji.


WAANDISHI WA MOGRICULTURE TZ

Mogriculture Tz ina waandishi wa-3:

  1. MTALULA Mohamed

Ni muanzilishi wa Blog hii. Yeye ni mtaalam wa kilimo, ana shahada ya kilimo aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Sokoine, SUA (Morogoro, Tanzania). Kwa sasa yeye ni muajiliwa katika kampuni ya sukari ya Kagera Sugar (Kagera, Tanzania).


    2. STIVIN Kibigili



   3. LUDOVICK Mahundo


Tuunge mkono kwa ku-subscribe na ku-share blog yetu kwenye social media.
Karibu, na endelea kuwa nasi!


Comments

Popular posts from this blog

Kilimo cha Kisasa cha Mahindi

Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji – Part 2

Vitunguu - Kilimo na Hifadhi Bora. Part 2