Magonjwa ya Kuku


Magonjwa ya kuku yapo mengi. Hata hivyo siyo yote yanatokea mara kwa mara hapa Tanzania. IIi uweze kudhibiti yale yanayotokea katika kundi lako unahitaji kufahamu dalili za jumla za magonjwa hayo. Unapoigundua moja au zaidi ya dalili za ugonjwa au wadudu chukua hatua mara moja. Yapo magonjwa ambayo yanaweza kuangamiza kundi lote la kuku katika.muda mfupi.




Jihadhari na uwezekano wa kupatwa na hasara zinazoletwa na magonjwa ambayo unaweza kuyazuia.



Dalili za Jumla za Magonjwa ya Kuku



      Kuku kupoteza hamu ya kula.



      Kuzubaa na kukaa mahali pamoja kwa muda mrefu (Kutochangamka).



      Kushuka kwa kiwango cha utagaji wa mayai.



      Vifaranga kutokua upesi au kudumaa. - Macho kuwa na rangi nyekundu.



      Kujikunja shingo.



      Kutetemeka, kutoa majimaji puani, mdomoni na machoni.



      Kutoa mharo (kinyesi) wa rangi ya kijani au wenye mchanganyiko na damu au cheupe.



      Kukonda.



      Kukohoa.



Ukiona moja au zaidi ya dalili hizi katika kundi lako chukua hatua za kutibu zilizoelezwa hapa chini. Kama hali ni ngumu zaidi omba msaada kwa mtaalam wa tiba ya mifugo ili achunguze mara moja na kukushauri jambo la kufanya.



Ugonjwa
Chanzo
Dalili
Kudhibiti na Kutibu

1. Kideri
Virusi
Kukohoa, kupumua
Vifaranga
wachanjwe

(Newcastle)

kwa shida.
katika juma lao la



Mwili
kwanza.  Chanjo  la pili



kukosa nguvu; shingo
wanapofikisha umri  wa
miezi 4 na nusu.


kujikunja.



Kuharisha kijani.
Chanja kuku kila baada ya



Kuku hufa wengi
miezi mitatu



Kuhara damu.














2. Kuhara damu
Bakteria
Kuku hujikusanya pamoja.
Tunza
usafi
katika

(Coccidiosis)

Hawachangamki.

banda.






Hushusha mbawa.
Lisha vifaranga chakula





kilichochanganywa











na   dawa
ya
kinga









coccidiost

kama









Amprolium au Salfa.








Watenge
kuku
wote








Walioambukizwa

na








Wapatie dawa kama









 Amprolium au salfa au









Esb3.



3. Ndui ya kuku
Virusi
Malengelenge kwenye
Kuchana

kuku
wote

(Fowl pox)

kishungi na kope za


wakiwa
na  umri
wa



macho
na
sehemu zisizo

miezi miwili.





na manyoya.


Watenge

kuku
wote









walioambukizwa

na









wapewe antibiotic kama









OTC plus au salfa.



4. Mafua ya kuku
Bakteria
Kuku uvimba uso  na
Usafi wa banda



(Fowl coryza)

macho




Kuchanja kuku wote




Kamasi hutirirka puani na
Kabla hawajaambukizwa



mdomoni




kama
ni

tatizo
sugu



Kuhema  kwa
shida
hata

katika eneo





kukoroma.



Watibu

wanaougua



Kukohoa.




kwa kutumia anti biotic









kama sulphamethazine,









streptomycine

na









vitamin





5. Kuharisha
Bakteria
Kuharisha
nyeupe
na
Usafi
wa
vyombo
na

nyeupe

hamu ya kula kupungua.

banda kwa ujumla









Watenge


kuku






wagonjwa











Tumia

dawa
kama









Furazolidone

au









Sulfadimidine










Hata


vitunguu





















saumu
menya
robo





kilo
utwange
nu





kuchanganya
na





Maji lita moja. Chuja
uwapatie maji haya kwa
muda wa wiki moja.











Wadudu washambuliao Kuku












Viroboto, Chawa,

Kuku  hawatulii,  hujikuna
Wadudu
washambuliao

Papasi

mara kwa mara.
Kuku






Hupungukiwa na damu na
Usafi
wa
banda
na



uzito

mazingira





Wadudu
huonekana
Banda
lipitishe  hewa  ya



mwilini

kutosha ili liwe kavu






Nyunyizia kuku na banda





zima dawa za kuua wadudu





kama vile Akheri powder,





Malathion, Servin n.k
















































Njia kuu za ujumla za kudhibiti magonjwa ni:



      Kutunza hali ya usafi ndani ya banda na kudhiditi kusiwe na unyevu

      Matandazo yakichafuka yabadilishwe.



      Vyombo vya maji visafishwe kila siku



      Jitahidi uepuke kufuga kwa njia ya huria ili kuku wako wasiambukizwe magonjwa kirahisi

      Epuka kufuga kuku wako pamoja na bata na khanga.Hawa ni wabebaji wa vimelea vya magonjwa ya kuku japo wao hubaki salama.

      Zingatia ratiba za chanjo kwa magonja yasiyo na tiba kama kideri na mengineyo ya virusi



Comments

Popular posts from this blog

Kilimo cha Kisasa cha Mahindi

Tajirika na Zao la Soya (Glycine max) - Part 2

Muongozo wa Kilimo Bora cha Nanasi